YANGA KUPASHANA MISULI NA AFRICAN SPORTS LEO HII

#FriendlyMatch

Yanga SC v African Sports 7:00 Usiku

Katika kujiandaa na mechi za VPL,  wananchi Yanga SC leo Jumamosi watapasha misuli kwa mechi ya kirafiki dhidi ya African Sports wana kimanumanu kutoka Tanga. 

Mpambano utafanyika Azam Complex Chamazi.Unadhani mshambuliaji mpya wa Yanga, Fiston  Abdoul Razack ataanza kwa kucheka na nyavu?
#BinagoUPDATES

No comments