Leo Jumamosi Captain Diego samagoal77 atacheza kwa mara ya kwanza Intercontinental Derby, pale vinara Fenerbahce watakapowakaribisha Galatasaray ambao wanashika nafasi ya pili katika msimamo.
Je, Samatta pamoja na fundi Mesut Ozil ambao watacheza derby hii kwa mara ya kwanza wataiwezesha Fenerbahce kuchukua pointi 3?
#BinagoUPDATES
0 Comments