TUPO TAYARI KUPAMBANA NA TUPO TIYARI KUTOA TULICHO NACHO

“Tupo tayari kupambana na tupo tayari kutoa kila tulichonacho. Biashara ni timu nzuri na inacheza mfumo mzuri lakini tupo kwenye hali nzuri ya kujiamini na hasa baada ya ushindi wa DR Congo. Tunahitaji alama hizi tatu ili kusogea kileleni.”- Kocha Didier Gomes kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Biashara United.
#BinagoUPDATES

No comments