Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ wanashuka dimbani kucheza mchezo wa kwanza wa AFCON 2021, Mauritania leo saa moja usiku dhidi ya Ghana, Tanzania ikiwa ugenini.
Timu hizo mbili zilizo Kundi C zitacheza katika Uwanja wa ‘Stade Municipal Nouadhibou’.
#BinagoUPDATES
Post a Comment