TADDEO LWANGA INJINIA NDANI NA NJE YA UWANJA
Mnamo mwaka 2014, Kiungo wa timu ya taifa ya Uganda [UgandaCranes] 🇺🇬 Taddeo Lwanga alitumiwa ofa ya kujiunga na Simba SC 🇹🇿 wakati huo akicheza klabu ya Express FC 🇺🇬
Lakini Lwanga alikataa ofa hiyo na kuchagua kubaki Uganda ili kumaliza masomo yake katika Chuo Kikuu cha Makerere
Miaka mitatu baada ya kuhitimu stashahada ya BSC Software Engineering [digrii ya Uhandisi wa Programu], alihamia Misri kuichezea klabu ya Tanta SC na mwaka mmoja baadaye amesaini SimbaSCTanzania, klabu aliyoikataa mwaka 2014 ili kumalizia masomo yake.
#BinagoUPDATES
Post a Comment