TAKUKURU YAMKAMATA MKOPESHAJI ANAYEKAA NA MALI ZA WAKOPAJI

MITANDAONI: TAKUKURU YAMKAMATA MKOPESHAJI ANAYEKAA NA MALI ZA WAKOPAJI

TAKUKURU jijini Dodoma imemkamata mmiliki wa kampuni ya Geneva Credit Shop ya Kondoa iliyokuwa ikiwakopesha watu na kukaa na kadi zao za benki huku ikiwatoza wakopaji riba kubwa.

Mkopeshaji huyo amerudisha kwa TAKUKURU shilingi milioni 100 na nyumba moja.

Una maoni gani kuhusiana na hili?
#BinagoUPDATES

No comments