JOYCE KIRIA AWEKWA NDANI KWA MAKOSA YA MTANDAO

JOYCE KIRIA AKAMATWA NA POLISI  KWA MAKOSA YA MTANDAO

Joyce Kiria anashikiliwa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kwa kosa la kuendesha Chaneli ya YouTube bila kuwa na leseni.

Joyce Kiria anashikiliwa na Polisi katika Kituo cha Polisi Mabatini Kijitonyama, Jijini Dar es Salaam.

Inaelezwa kuwa, hatua hiyo ni muendelezo wa TCRA kudhibiti  Mawasiliano kwa watu wanaondesha maudhui kwa njia ya Mtandao, pamoja na kutoa elimu kwa watu wanaotoa maudhui mtandaoni bila kujisajili.
#BinagoUPDATES

No comments