ANAANDIKA CHRIS AGSTINE ✍

Repost from @officialchristz

Medie Kagere anaweza kuibuka tena mfungaji Bora VPL Kama Kocha wa klabu yake ya simbasctanzania  ataendelea kumpa Nafasi 

Kwangu Mimi Kagere ndiye  mshambuliaji Hatari wa Kigeni katika VPL kwa Miaka ya Hivi Karibuni 

Kama Kuna kitu Kocha Sven alikua anafeli Ni kuto mchesha Mara kwa Mara katika Michezo yake 

Bado Medie Kagere hajachuja Bado Ni Yule Yule aliyetoka Gormahia ya Kenya Hivyo Nampa Nafasi ya kuibuka Kinara wa Magoli katika VPL Msimu Huu 

Vip kwa Mtazamo wako Nani ataibuka Kinara wa Magoli VPL Msimu Huu... ?
#BinagoUPDATES

No comments