WALAJI WA NYAMA YA NGURUWE HATARINI

NYAMA YA NGURUWE YAPIGWA ‘STOP’ WALAJI HATARINI

WALAJI wa Nyama ya Nguruwe wapo hatarini kutokana na kuzuka kwa homa ya Nguruwe (Afircan Swine Fever) katika  Mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga,   Annamringi  Macha  amepiga  marufuku biashara ya nyama hiyo ya Nguruwe na uuzaji wa nguruwe wenyewe kutokana na ugonjwa huo.

Imeelezwa kuwa toka kuzuka kwa homa hiyo nguruwe zaidi ya 500 wamekufa mkoani humo.
#BinagoUPDATES

No comments