MSIBANI KWA C PWAA

PICHANI:-Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo @abdallahulega ( aliyevaa fulana ya mistari) akiwa pamoja na waombolezaji wengine wakati wa ibada ya kumwombea msanii wa Bongo Fleva, marehemu C Pwaa iliyofanyika jana jioni, Magomeni.

C Pwaa amefariki jana alfajiri katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuzikwa jioni ya siku hiyo katika makaburi ya Mwinyimkuu Magomeni, jijini Dar es Salaam.

R.I.P C Pwaa

#BinagoUPDATES

No comments