DISABRE ATAKA MSHAHARA WA MILIONI 51 KWA MWEZI

MAJANGA! MSHAHARA ANAUOTAKA KOCHA DESBARE  PALE MSIMBAZI;"
 
Kwa mujibu Micky ambae ni mwandishi wa habari za michezo kutoka Ghana ni kwamba klabu ya Simba SC wapo kwenye mazungumzo ya mwisho na kocha wa zamani wa Uganda Cranes na Klabu ya Pyramids FC, Sébastien Desabre (44) kurithi mikoba ya Sven klabuni hapo"

Awali klabu ya Simba iliwasilisha mezani mshahara wa milioni 30 (USD $ 13, 000)  kwa mwezi lakini Desbare alikataa, akidai anataka mshahara wa milioni 51 (USD $ 22,000) kwa mwezi."
#BinagoUPDATES

No comments