TANZANIA KUPOKEA UJIO WA RAISI WA ETHIOPIA

#HABARI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi, amesema kesho Januari, 25 Tanzania inatarajia kupokea ugeni wa Rais wa Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Mbali na mambo mengi Rais huyo atakuwa na mazungumzo ya faragha na mwenyeji wake Rais Magufuli.
#BinagoUPDATES

No comments