BENCHI JIPYA LA UFUNDI SIMBA SC, ZAHERA NDANI
Kocha mkuu
🇨🇵 - Didier Gomes (Mfaransa) leseni A ya UEFA
Kocha Msaidizi
🇹🇿 - Suleman Matola
Kocha Makipa
🇧🇷 - Milton Nienov (Mbrazil)
Kocha wa viungo
🇹🇳 - Adel Zrane (Tunisia)
Dokta wa timu
🇹🇿 - Dr. Yassin Gembe
Watalaam wa misuli
🇩🇪 - 1. Paul Gomes (Ujerumani)
🇹🇿 2. Jallow Bakari
Mkurugenzi wa ufundi
🇨🇩 - Mwinyi Zahera (Mkongo)
Mtaalamu wa Tathmini
🇿🇼 - Calvin Mavhunga - (Mzimbabwe)
Mtunza vifaa
🇹🇿 - Hamis Mtambo
Meneja wa timu
🇹🇿- Abbas Ally
#NguvuMoja1
#NextLeveL
#BinagoUPDATES
Post a Comment