PITSO ASEMA KOCHA TINKLER ANAFAA KUIFUNDISHA SIMBA SC

TINKLER ANAFAA KUTUA SIMBA SC - Pitso Mosimane

Mosimane ana maoni kuwa Eric Tinkler  ana uwezo zaidi wa kuifundisha Simba SC.

Hata hivyo kulingana na ripoti nyingi, Tinkler pamoja na Clinton Larsen wanahusishwa na kuhamia Simba kwani wameorodheshwa kumrithi kocha wa Ubelgiji Sven Vanderbroeck ambaye aliacha kazi hivi karibuni kwa madai ya kifamilia.

"Hatuwezi kutosheleza kile tulichonacho nyumbani tu, kila wakati (akiwazungumzia makocha kutoka Afrika kusini tuu). 
Tuna ubora wakufanya hivyo [kufundisha baadhi ya miamba ya soka barani afrika na timu kubwa]. Watu kama Tinkler, hawana ajira sasa, Namaanisha hawezi kufanya kitu kimoja kila wakati kama hamster kwenye gurudumu. "Yeye [Tinkler] ana CV ya kuifindisha Simba, Sisemi lazima aende huko, kwani ameshiriki fainali ya ligi ya Mabingwa [na] kwenye fainali ya Kombe la shirikisho ... ana uzoefu, ana CV kubwa zaidi, kuliko Wazungu wanaokuja na hawaelewi mpira wa Afrika unahusu nini."

Eric Tinkler ni nani? mbona kocha mkubwa barani Afrika anamtaja sana ...? Mjue kwa ufupi huyu Eric... (Amezaliwa Julai 1970) ni mkufunzi wa mpira wa miguu wa Afrika Kusini na mchezaji wa zamani. Hivi sasa hana kazi baada yakufutwa huko Maritzburge United kutokana na matokeo kutokuwa mazuri.

Timu alizofondisha;
2013 - 2016 Orlando Pirates
2016 - 2017 Cape Town City
2017- 2018 Super Sport United
2018 - Chippa United 
2019 - Maritzburge United 
2020 -

#BinagoUPDATES

No comments