ARSENAL YAMGEUKIA BERTRAND
Arsenal wana nia yakumsajiri Ryan Bertrand ✍
Bertrand amebakiza miezi sita tuu kwenye kandarasi yake huko Southampton na anataka nyongeza kubwa ya mshahara kabla kukubali mkataba mpya.
Arsenal wanaangalia chaguo jingine upande wa beki wa kishoto baada yakumruhusu Sead Kolasinac kujiunga na Schalke kwa mkopo.
#BinagoUPDATES
Post a Comment