HATIMAE JUNIOR LOKOSA AKWEA PIPA KUTUA BONGO KESHO
Mshambuliaji mpya wa simba Sc, Lokosa Junior 🇳🇬 mwishowe amepanda ndege kuja Dar es Salaam, Tanzania baada ya jana kuchelewa. Anatarajia kutua Tanzania kesho majira ya saa saba na nusu mchana.
Awali Lokosa alitakiwa kuondoka Lagos, Nigeria na kuwasili Tanzania leo saa 7 lakini alichelewa ndege na hivyo kutafutiwa ndege nyingine.
#BinagoUPDATES
Post a Comment