NYONI AREJEA NCHINI TANZANIA
Taarifa zinasema Kiraka Erasto Nyoni amerejea Nchini akitokea Cameroon ambako Taifa stars inashiriki mashindano ya CHAN 2020.
Hakuna sababu iliyotolewa ya yeye kurejea Tanzania wakati mashindano yakiendelea na jumatano Taifa Stars tunamalizia mechi ya mwisho hatua ya makundi.
#BinagoUPDATES
Post a Comment