MUSEVENI AWATEUA WANAJESHI KUSIMAMIA UCHAGUZI
UGANDA: MUSEVENI ATEUA WANAJESHI KUSIMAMIA UCHAGUZI;"
Rais Yoweri Museveni amewateua Makamanda wa Jeshi ambao walipambana Somalia na Sudan Kusini kusimamia Usalama wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Uganda"
Museveni amekuwa akiwalaumu Polisi kuwa ni wazembe na wameshindwa kazi. Hatua hii inakuja mwezi mmoja baada ya kutokea Maandamano yaliyopelekea vifo vya watu 57"
Wapinzani na Wachambuzi wanaiona hatua hiyo kuwa ni ishara ya kuwatisha Wapiga Kura na kuzima Maandamano yanayoweza kujitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu."
Post a Comment