MESUT OZIL AANZA MAZOEZI RASMI NA TIMU YAKE YA FENERBAHCE

Mesut Ozil ameanza mazoezi na timu yake mpya ya Fenerbahce ya Uturuki.

Fundi Mesut Ozil Rasmi ametua Fenerbahce fenerbahce timu ambayo anaichezea nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta samagoal77.

Klabu ya Arsenal imethibitisha juu ya uhamisho huo.

Mashabiki wa Arsenal wanatamkumbuka Ozil kwa mengi, mojawapo ni goli alilofunga kwenye Uefa Champions league dhidi ya Ludogorets Razgrad mwaka 2016.
#BinagoUPDATES

No comments