Wengi wanadhani Mihigo mibichi inaongeza nguvu za kiume lakini mihogo mibichi ina kitu kinaitwa CYANIDE hii ni sumu mbaya sana.
Sumu hii ikizidi kiwango cha concentration ya 0.5mg/L mpaka 3mg/L inaweza sababisha tatizo la kupooza na hata kifo cha Ghafla.
#BinagoUPDATES
Post a Comment