Aliyekua kocha wa Al Ahyl, Rene Weiler(47) raia wa Uswisi ni miongoni mwa makocha wanaotajwa kutua simba Sc kuja kurithi mikoba ya Sven Vandenbroeck ambaye ametimkia FAR RABAT ya nchini Morocco.
Rene kwasasa yupo huru baada ya kufutwa kazi ndani ya Al Ahly ya Misri mwezi oktoba, 2020.
#BinagoUPDATES
Post a Comment