IRAQ YATOA HATI KUMKAMATA DONALD TRUMP


IRAQ YATOA HATI YA KUMKAMATA RAIS DONALD TRUMP;"

Jaji katika Mahakama ya uchunguzi ya Baghdad ametoa hati ya kukamatwa kwa Rais wa Marekani anayemaliza muda wake, Donald Trump, juu ya mauaji ya Jenerali wa Iran, Qasem Soleimani mwaka jana"

Abu Mahdi al-Muhandis - Naibu Mkuu wa Iraq wa Vikosi vya Uhamasishaji Maarufu vya Iraq - aliuawa pamoja na Soleimani katika shambulio la angani la Marekani mnamo Januari 3, 2020."
#BinagoUPDATES

No comments