Nini maana ya Dini?

*Dini ni nini ??
 ✔Dini ni mila au ni Mfumo wa maisha ya mwanaadamu. 
✔Mfumo wote wa maisha ya mwanaadamu ndio dini yake haijalishi ana mfumo gani anaoutumia na kuufuata .

✅AINA ZA DINI :
✔Kuna aina mbili za Dini nazo ni :
👉1.Dini ya MWENYEZI MUNGU na 
👉2.Dini za WATU.

👉1:DINI YA MWENYEZI MUNGU ni mfumo sahihi wa maisha ya mwanaadamu ambao MWENYEZI MUNGU amewawekea wanaadamu hao unaolingana na ubinaadamu .
✔Nao mfumo huo au Dini hiyo ni UISLAMU ambao MWENYEZI MUNGU ameuchagua uwe muongozo wa maisha ya mwanaadamu .

📖"Hakika ya Dini {inayokubalika} mbele ya MWENYEZI MUNGU ni UISLAMU " [3:19}

👉2:DINI ZA WATU :Ni mifumo iliyowekwa na wanaadamu ambao wamejichagulia wenyewe nazo ziko aina nyingi nazo Miongoni mwao ni  kama zifuatazo :
✔Dini za kimila.
✔Dini za kidemocrasia.
✔Dini za Kipagani na kadhalika .
👉Dini za kimila ni mifumo iliyowekwa   na wanaadamu ili kuendesha mifumo yao potofu .
👉Dini za kidemocrasia ni mifumo iliyowekwa na wanaadamu ili kupingana na mfumo sahihi wa MWENYEZI MUNGU ili kuendesha maisha yao ya kidhulma ,kama tunavyoona leo .
👉Dini za kipagani nayo ni mifumo iliyowekwa na wanaadamu ili kuendesha maisha yao kupitia mifumo hiyo potofu kwa imani za kishirikina.Dini hizi za kipagani ni kama UKIRISTO, UYAHUDI, UBUDHA, BOHORA na mfano wa hizo.

✔DINI hizi zote ni mifumo potofu waliojiwekea  wanaadamu wenyewe iliyotoka ktk Muongozo sahihi wa MWENYEZI MUNGU. 
✔Na dini hizi au mifumo hii haikubaliki kwa MWENYEZI MUNGU hata kama wao wanajiona wako sahihi .

📖"NA YOYOTE ANAYETAKA DINI [MFUMO] USIOKUWA UISLAMU, BASI HAITOKUBALIWA KWAKE NAYE KTK AKHERA ATAKUWA NI MIONGONI MWENYE HASARA " [3:85].

✔Dini ni mfumo na uislamu ni njia ya kuelekea ktk uongofu .

📖"Sema : Hii ndio #NJIA_YANGU nalingania kwa MWENYEZI MUNGU, juu ya ELIMU YA UHAKIKA, mimi na anayenifuata. Utakatifu ni wa MWENYEZI MUNGU, nami si Miongoni mwa washirikina " [12:108]

✔Dini ni mfumo na Uislamu ndio NJIA ya kuelekea ktk uongofu isiyokuwa na shaka,isiyopinda bali njia hii imenyooka bara bara .

📖"Na kwamba hii #NJIA_YANGU iliyonyooka. Basi ifuateni na wala msifuate #NJIA nyenginezo zitakufarikisheni na njia yake. Hivyo ndivyo alivyokuusieni MWENYEZI MUNGU kwayo mpate kuogopa "[6:153]

👉Dini ni mfumo na Uislamu ni njia ya walioneemeshwa ktk manabii,wakweli,mashahidi na wema .

📖"NJIA ya MWENYEZI MUNGU ambaye ni vyake pekee vyote vilivyomo ktk mbingu na vilivyomo ktk ardhi, Tanaba!Kwa MWENYEZI MUNGU pekee yanaishia mambo yote"[42:53]

👉Mfumo wa maisha na njia nyengine isiyo Uislamu ni njia potofu .

✔Tafakarii fata njia sahihi utaangamia .

1 comment:

  1. Katika wanadamu wewe ndiye punguani namba moja.11111111. zero brain kabisa. Sasa tangia ulipokuwa na hiyo dini Yako na kudharau zingine mbona Bado mchoyo na mrafi..

    ReplyDelete