Frolian Wirtiz ni zaidi ya De Bruyne 🔥
✍🏻Bado naziona zile efficiency of searching space, runs za hatari sana kwenye mpira huwa zinaathari kwa wapinzani kwenye kumalizia mtiririko shambulio
✍🏻Bayer Leverkusen inahitaji control ya mchezo, huwezi kucheza mechi zenye intensity ya hali ya juu bila kuwa control : basi Florian Wirtz ndio kiungo wako, kuna mchezaji bora sana ndani yake
✍🏻Hii ni output nzuri kwa Bayer Leverkusen, leo hata future unaona kabisa kuna kitu wanakwenda kukipata kupitia Florian Wirtz, why?
1: Anarahisisha kazi yake kiwanjani, strength imara sana : hudumisha mashambulizi kwenye zone ya mpinzani
2: Leverkusen bila mpira or ikipoteza mpira kwenye Counter Pressing huwa anarudi kusaidiana na wachezaji wenzake kuondosha hatari (Athleticism)
3: Mzuri sana kwenye passing, huwa anatafuta vertical pass nyuma ya kiungo cha mpinzani, na huwa anafanikiwa sana : ni ngumu sana kushinda mipambano dhidi yake
Bundesliga - Magoli 7 - Assists 10
✍🏻Ana miaka 20, anafanya game yake kwa energy ile ile na game baada ya game : anajua sana space ilipo (akiwa na mpira, Bayer Leverkusen inakuwa salama sana) Keep fighting Fundi
MAESTRO FLORIAN WIRTZ 🧠
Post a Comment