ONGEZEKO LA COVID-19 NA MAFUA NCHINI


 Wizara ya Afya imesema imekuwa ikifanya ufuatiliaji wa taarifa za magonjwa ya mlipuko ikiwa ni pamoja na tetesi za kuwepo kwa magonjwa hayo ndani na nje ya Nchi ambapo kuanzia November, 2023 kumekuwa na tetesi juu ya ongezeko la visa vya magonjwa ya mfumo wa njia ya hewa sehemu mbalimbali duniani na ndani ya nchi hususan Dar es salaam ambapo imesema Covid 19 imeendelea kuwepo kwa kiwango cha chini kama magonjwa mengine ya mfumo wa njia ya hewa ukiongezeka na kupungua kwa nyakati tofauti za majira ya mwaka.

Wizara imesema virusi vya Influenz

No comments