SIMBA KUISHTAKI YANGA

 

Klabu ya Simba Sport yapanga kuifungulia Klabu ya Young Africans(Yanga),baada ya klabu ya Yanga kutumia nembo ya Simba kubandikia matangazo ya barabarani ya matokeo ya mchezo huo.


Hatua hiyo imechukuliwa na Klabu ya  Simba baada ya Yanga kubandika mabango hayo mitaa.Na pia klabu ya Yanga iliweza kuweka   video zinazoonesha magoli kwenye televisheni za matangazo.


Ikumbukwe kuwa klabu ya Yanga ilitoa ofa kwa yoyote atakae piga picha kwenye mabango hayo pichani hapo juu,Atapata zawadi hivyo  hii imeongeza hamasa kwa mashabiki wa Yanga



Stream live mechi mbalimbali kupitia App ya Binago TV 



No comments