REAL MADRID KUKANUSHA JUU YA MBAPPE


 Clabu ya Real Madrid imekanusha Kuwa habari zinazosambaa juu ya kumuhitaji  Mshambuliaji wa Paris saint Germain(PSG) Kylian Mbappe raia wa Ufaransa  

Real Madrid wamesema Kuwa hawajafanya mazingumzo yoyote na Paris Saint Germain kuhusiana na hii tarifa ya kumuhitaji mchezaji uyo

Ikumbukwe Kuwa nyota huyo wa Ufarasa Mbappe mkataba wake na Paris saint Germain unamalizika majira ya joto 2024.  

No comments