MESSI AJIBU JUU YA YEYE NA RONALDO
Mwandishi wa habari alimuuliza Messi kuwa"Umeshinda tuzo ya nane ya Balloon Ďor na umemzidi Ronaldo tuzo tatu hivyo ushindani kati ya wewe na Ronaldo umeisha?
Messi alijibu"ulikuwa ni ushindani mkubwa sana kati yetu"
"Cristiano alikuwa mzuri sana na tumeweza kunufaika kwa pamoja kutokana na ushindani wetu wa zaidi ya miaka kumi mpaka kumi na tano "
"Ulikuwa wakati mzuri kati yangu na Ronaldo hivyo imetufanya kukua kwa pamoja katika tasnia ya michezo katika kizazi hiki "mwisho wa kunukuu
Ikumbukwe Cristiano Ronaldo aliweza kuchukua tuzo tano za Balloon Ďor na kuwa mchezaji wa pili mwenye tuzo nyingi za Balloon Ďor.
Post a Comment