ALPHONSO DAVIES KUHUSISHWA NA REAL MADRID
Nyota wa Bayern Munich na Canada Alphonso Davies beki wa kushoto anahusishwa kusajiliwa na Real Madrid kwa asilimia kubwa
Hali hii imewafanya Bayern Munich kuingiwa na hofu kubwa ya kumpoteza nyota huyo katika kikosi chake
Beki huyo wa Canada anayecheza nafasi ya kushoto ameomba aongezewe mshahara unaoendana na hadhi yake.

Post a Comment