TAZARA KUINUA UCHUMI WA TANZANIA NA ZAMBIA
Rais wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania na Zambia akiwa katika bunge la Zambia kuwa, zitapambana ilikuhakikisha reli ya Tazara inakuza na kuinua uchumi wa nchi hizi mbili
Rais Samia amesema reli hiyo inafanya kazi kwa 4% tu ya uwezo wake wa utendaji,hivyo ikirekebishwa itapelekea uchangiaji mkubwa wa uchumi kati ya Tanzania na Zambia
Hivyo reli ya Tazara ikirekebishwa itasaidia usafirishaji wa mizigo kiasi cha tani za mizigo milioni tano(5000000) na pia kutoa ajira kwa vijana wengi
Post a Comment