BETTING KUCHANGIA BILIONI 170 PATO LA TAIFA
Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania(GBT) imetimiza miaka 20 tangu kuanzia kwake mwaka 2003 na pia katika muda wote huo imeweza kuchangia Bilioni 170 kwa mwaka kwenye pato la Taifa.
GBT imeweza kuchangia katika pato la Taifa kwa kutoa ajira kwa mwananchi na kuvutia kampuni zaidi ya 67 za kitaifa na kimataifa
Pia GBT imekuwa ikichangia 5% ya kodi kwenye pato la Taifa inayotokana na ubashiri wa michezo(Sport Betting) hivyo kukuza uchumi wa Tanzania
Post a Comment