Kombe la Ligi kuu Tanzania lina thamani kubwa East Africa
⚽ Klabu ya Tusker FC 🇰🇪 imetwaa ubingwa wa (13) wa ligi kuu ya Kenya kwa tofauti ya magoli.
1. 60 - Tusker FC
2. 60 - Kakamega home boys
Bingwa wa ligi kuu Kenya atapata Ksh 03 Milioni sawa na Tsh 57 Milioni.
Pesa hiyo inaingia mara 10+ kwa pesa anayopata bingwa wa ligi kuu ya Tanzania (600) Milioni !!!
📌 Kocha Robert Matano (Pichani) ametwaa kombe la (4) la ligi kuu ya Kenya, mara nyingi zaidi ya kocha yoyote.
.
.
Wiki ya mabingwa 🏆
🏆 Tusker FC kutoka nchini Kenya 🇰🇪 wametwaa ubingwa leo Juni 12,2022.
🏆 CFFA Andoharanofotsy FC 🇲🇬kutoka nchini Madagascar wametwaa ubingwa leo !
🏆 Royal Leopard FC kutoka nchini Eswatin imetwaa ubingwa leo !
Bado Tanzania...
Post a Comment