Klabu ya Simba imemfuta kazi kocha wao mkuu Pablo Franco kutoka Madrid Spain
BREAKING NEWS ⚽ 🗞️🔥
Klabu ya Simba imemfuta kazi kocha wao mkuu Pablo Franco kutoka Madrid Spain 🇪🇸
Timu hiyo itakuwa chini ya kocha msaidizi Suleiman Matola kwa sasa.
Pablo amefutwa kazi pamoja na Kocha wa viungo Daniel De Castro Reyes ikiwa ni siku mbili zimepita toka Simba SC ivuliwe Ubingwa wa Kombe la ASFC kwa kufungwa 1-0 na Yanga katika uwanja wa CCM Kirumba Mwanza huku Kombe pekee alilotwaa ni Mapinduzi Cup 2022 pamoja na kufika robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika.
Sema nini Huyu jamaa ni mwamba haswa 😆
❎ Aussems out - Matola kabaki.
❎ Sven out - Matola kabaki.
❎ Gomez out - Matola kabaki
❎ Hitimana out - Matola kabaki
❎ Pablo out - Matola kabaki.
Makocha watano wameondoka wamemuacha mwamba kikosini 🙌
.
Je? ni sawa Bodi kumfuta kazi Pablo au inawezekana Klabu ya Simba ina hali sawa Klabu ya Manchester United, wasijefukuza makocha kumbe shida sio kocha tu... Ni mawazo 🤔
Post a Comment