CAF imeanza uchunguzi kuhusu malalamiko ya kocha wa Orlando Pirates kuhusu Mchezo wa robo fainali shirikisho na Simba sc uliofanyika Dar es Salaam.
Kocha Mcikazi alilalamika kuwa (VAR) ilizimwa kwa makusudi haikutumika.
Povu la kocha wa Orlando Pirates baada ya Mchezo dhidi ya Simba sc
"Media zenu zote hapa zinaenda kudanganya na kuandika uongo, semeni ukweli, Simba hakustahili kushinda"
"Simba wamebebwa, hawajatutreat vizuri tangu tumefika, penati waliyopewa hawakustahili, VAR imewekwa lakini haijatumika katika maamuzi"
"Kwa mliyotufanyia tukiwa hapa, je mtafurahi tukiwafanyia mkija South Africa ? Sisi hatutawalipiza tutakuwa waungwana"
🔍 Mcikazi kocha wa Orlando Pirates akiongea kwa ukali na wanahabari. Cc Tom Cruz #binagoupdates
Post a Comment