Klabu ya Young Africans imetenga kiasi cha Tsh (2) Bilioni kwa ajili ya kufanya usajili wa Wachezaji (5) kwenye dirisha lijalo la usajili.

Klabu ya Young Africans imetenga kiasi cha Tsh (2) Bilioni kwa ajili ya kufanya usajili wa Wachezaji (5) kwenye dirisha lijalo la usajili.
.
.
Msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara amesema wamejifunza kutokana na makosa, msimu ujao wanataka kuwa timu ya ushindani kwenye michuano ya (CAF)
.
.
Amesema msimu huu walitolewa kwenye michuano ya (CAF) katika hatua za awali kwa sababu suala hilo lilikuwa nje ya uwezo wao, kwani timu ilikuwa mpya, Wachezaji hawakuwa na Chemistry pia baadhi ya Key players kama Mayele walikosekana.
.
.
Amesema hata Simba sc kama wangeanzia preliminary round wangekuwa wametolewa vilevile maana walipoteza mchezo wa kwanza klabu bingwa, wakaangukia shirikisho (CAF)
.
.
Manara ameweka wazi kuwa, msimu huu watahakikisha wanatwaa ubingwa wa ligi kuu ili waanzie hatua ya pili klabu bingwa Africa msimu ujao, kwani mabingwa wa ligi kuu kwenye nchi (12) za juu kwenye ranks za (CAF) hawaanzii round ya kwanza.

"Msimu ujao hatujengi timu bali tunaboresha kwa kuleta wachezaji wakubwa Africa"

🔍 Haji Manara msemaji wa Yanga sc. 

No comments