Kama kocha unapaswa kumponda mchezaji wa timu pinzani, kumuudhi ili umtoe mchezoni. Lakini ukweli ni kwamba Fiston Mayele ni miongoni mwa washambuliaji hatari"

Kabadili kauli tena 👀

"Kama kocha unapaswa kumponda mchezaji wa timu pinzani, kumuudhi ili umtoe mchezoni. Lakini ukweli ni kwamba Fiston Mayele ni miongoni mwa washambuliaji hatari"

"Yanga ni timu ambayo inahitaji ubingwa, hata unapopigana na mke wako anaweza kukwambia ntakupiga, anaweza kukubahatisha kukupiga hata kofi,, Lakini je ni kweli mwanamke anaweza kumpiga mwanaume ?! Haiwezekani, sasa kumbuka kwamba Yanga ni moja ya timu kubwa"

🔍 Julio kocha msaidizi wa Namungo
.
.
Kabla ya mechi !

"Mayele hana uwezo wa kutufunga, kwanza kwa kihehe Mayele maana yake ni pombe, akija tayari kalewa sijui atatufungaje"

"Simba anaweza kuwa bingwa, tukimfunga Yanga zitabaki points (7), Simba akimfunga Yanga zinabaki points (4), Mbeya city akitoa pacha na wengine hivyohivyo (Yanga) atauchukulia wapi huo ubingwa ?!"

"Yanga kwangu ni mwembe wa uwani najitingishia tu wakati mwingine nakuta dodo zimeanguka nachukua naondoka nazo"

🔍 Julio kocha wa Namungo

No comments