Deal Done: Bernard Morrison anaweza kwenda Afrika Kusini kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Orlando Pirates

- Klabu ya Simba SC 🇹🇿 inaweza kusafiri na nyota wake Bernard Morrison 🇬🇭 kwenda Afrika Kusini 🇿🇦 kwa ajili ya mchezo wa marudiano wa robo fainali ya kombe la shirikisho dhidi ya Orlando Pirates April 24
- Baada ya klabu hiyo kufuatilia sakata la Morrison kuzuiliwa na uhamiaji kuingia nchini Afrika Kusini, Simba watatakiwa kulipa faini ili kupata kibali cha kuruhusiwa Morrison kuingia nchini humo.

No comments