𝐓𝐔𝐌𝐄𝐊𝐔𝐉𝐀 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐊𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐈𝐍𝐈 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐙𝐔 𝐁𝐀𝐑𝐁𝐀𝐑𝐀

"Nimefika South Africa, na nimekwenda kwenye ubalozi wa Tanzania hapa nchini South Africa, lengo letu ikiwa ni kuweka mikakati vizuri na madhubuti ili klabu yetu iwe katika mazingira salama kipindi iko hapa SOWETO South Africa"
.
𝐓𝐔𝐌𝐄𝐊𝐔𝐉𝐀 𝐀𝐅𝐑𝐈𝐊𝐀 𝐊𝐔𝐒𝐈𝐍𝐈 𝐊𝐔𝐅𝐔𝐙𝐔 𝐁𝐀𝐑𝐁𝐀𝐑𝐀 

➪"CAF bado haijajibu malalamiko ya kinidhamu tuliyotuma (Dhidi ya Kocha Msaidizi wa Orlando Pirates) Iwapo CAF itachagua kumpiga faini, kumpiga marufuku kukaa benchi au adhabu yoyote ni sawa kwetu ,japo faini ingemfaa zaidi kuhisi maumivu ya kutoa fedha."

➪“Lengo letu Afrika Kusini ni moja tu ambalo ni kupata matokeo yatakayotufanya tufuzu nusu fainali. Tayari nipo hapa na timu itawasili Jumamosi siku moja kabla ya mchezo,”

➪“Simba SC imebadilika, inajua ugumu wa michezo ya ugenini lakini kila mmoja ndani ya timu yupo tayari kwa nafasi yake kuhakikisha tunatinga Nusu Fainali.”

➪“Tunajiamini tunakwenda kufanya vizuri, Kocha na Benchi la Ufundi kwa ujumla wanaendelea vizuri na maandalizi kwa morari ya juu kuhakikisha tunapata matokeo tunayoyahitaji kwenye mchezo wa marudiano, Jambo ambalo linawezekana kwani Simba SC imabadilika na inastahili kusonga mbele zaidi.” 

🔍 Barbara Gonzalez CEO wa Simba sc. Cc Tom Cruz #binagoupdates

No comments