KLABU YA SIMBA SC ITAWAKOSA NYOTA WAO WATANO KUELEKEA MECHI YAO YA KIMATAIFA DHIDI YA ASEC MIMOSAS JUMAPILI

Kuelekea Mchezo wa Kimataifa wa CAF CONFEDERATIONS CUP Kati ya Simba SC Dhidi ya ASEC Mimosas ya Nchini Ivory Coast, Mchezo utakaopigwa Tarehe 13/02/2022 Siku ya Jumapili, Katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Klabu ya Simba SC Itawakosa Wachezaji wao Watano (5) Kutokana na Sababu mbalimbali..

1. Chris Mutshimba Mugalu (31) ----> Amevunjika Mkono

2. Bernard Morrison (29) ----> Amepewa Adhabu Na Klabu Kutokana Na Utovu Wa Nidhamu Kambini

3. Taddeo Lwanga (27) ----> Majeruhi

4. Clatous Chota Chama (30) ----> Kanuni Haimruhusu Kutokana Na Sheria Za CAF Kwakuwa Tayari Alishacheza Michuano Hiyo Ya Kimataifa Akiwa Na Klabu Ya RS Berkane Ya Nchini Morroco

5. Kibu Dennis Prosper (22) ----> Majeruhi

Nini Utabiri Wako Kuelekea Mechi Hii...? 

No comments