MSIGWA: KATIKA ENEO LA UTAMADUNI NA SANAA, SERIKALI IMEPIGA HATUA KUBWA SANA

Mkurugenzi wa Idara Ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Mhe. Gerson Msigwa amesema, Serikali imepiga hatua kubwa katika eneo la Utamaduni na Sanaa kwa kuanza kutekeleza agizo la Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyetaka wasanii waanze kulipwa mirabaha ya kazi zao.

Amesema, Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mara ya kwanza imerejesha malipo ya mirabaha ambapo wasanii 1,123 wamelipwa
jumla ya shilingi Milioni 312.

No comments