chukua hii: Mashindano ya Kombe la Mataifa AFCON 21 ni ya mchongo

Chukua hii: Benchi la ufundi la Tunisia siku ya jana lilishindwa kufanya mkutano na waandishi wa habari baada ya mmiliki wa vifaa vya mawasiliano kuondoka na vifaa vyake akidai kamati ya maandalizi ya Afcon haijamlipa pesa yake kutokana na makubalino waliyokubaliana.

Kumbuka mechi hizi zote zitakuwa LIVE na BUREE kupitia App yetu ya BINAGO TV ⚽ 🔥


No comments