MOJA YA KAMPUNI YAMDHURUMU ZUCHU KIASI CHA PESA, ACHARUKA

Huwenda moja ya Kampuni inayomtumia Msanii wa Label ya WCB Wasafi Zuchu kama (BALOZI) imemdhurumu Kiasi cha pesa ambacho hawakukubaliana kwenye Mkataba kutokana na Maneno aliyoyaandika katika Insta Story yake ya @officialzuchu.

"Am So Dissapointed with some of these people we work with, ifikie muda msanii aheshimiwe kwa status na Platform yake inayotumika kutangazia kitu flani"

"Hii sio Favor wala sio msaada tunafanya kazi kwa makubaliano, basi ifikie hatua mjifunze kuheshimu Wasanii"

"Na kinachonikera zaidi ni kwamba unajua wanajua umefanya kazi kubwa kushikilia Bango kwa kiasi kikubwa kuchangia ushawishi kwenye matumizi ya Kampuni zao"

"Watu wengi au Makampuni muda mwingine mna dharau sana Wanawake  kwenye upande wa Malipo, Respect a Women who has worked her ass off to build her Career or Platfotm."---- ZUCHU


No comments