FACEBOOK, INSTAGRAM NA WHATSAPP YAPATA TATIZO, WATHIBITISHA
Kampuni ya Facebook imethibitisha kwamba Mitandao yake ya Facebook, Instagram na WhatsApp imepata tatizo na kufanya baadhi ya Watumiaji kushindwa kufanya chochote
kwenye Account zao, kwenye taarifa yao
wameomba radhi na wamesema wako kazini kulitatua tatizo.
Tatizo hili ni karibia Dunia nzima, ni nchi chache tu zimepona na tatizo ili.
"Tunafahamu kuwa watu wengi wako na shida ya kufikia programu zetu. Tunajitahidi kufanya kila namna kuhakikisha hali inarudi kama kawaida haraka iwezekanavyo, na tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza."---- FACEBOOK
Post a Comment