Advertisement

Responsive Advertisement

RICK ROSE; NITAKUJA KUKAA KILIMANJARO WIKI NZIMA

Star Wa HipHop Kutokea Nchini Marekani Rick Rose maarufu Rivh Forever amesema kuwa atakuja kutembelea Mlima Kilimanjaro pamoja na Mbuga ya Serengeti akikaa kwa muda wa wiki moja

Hii ni baada ya Rapa huyu kuulizwa na Mtangazaji Lil Ommy kama ameshawahi Kufika Katika Mlima Kilimanjaro pamoja na Mbuga ya Wanyama Serengeti

"----->Nimekuwa nikipasikia serengeti kwenye Maisha yangu, lakini mimi mpaka kufika hapa leo kuna miaka 10 ya msoto nyuma, imefikia muda sasa wa kufurahia maisha na uwezo ninao wa kwenda kutembelea mlima kilimanjaro kwa muda wa wiki moja"----- RICK ROSE

Rozay amethibitisha hayo wakati akiwa kwenye Interview na The MR. MVP Lil Ommy. 

Post a Comment

0 Comments