"Ukaribu Upo kwa sababu Harmonize ni mdogo wangu kama wadogo zangu wengine kwahiyo naweza nikafanya nae kazi siku yoyote na muda wowote kama wadogo zangu wengine niwaambie tu mimi sina tatizo na kijana yoyote"
*Mimi nampenda Diamond nampenda Alikiba nampenda Harmonize yaani wote nawapenda"-Ameongea Dully Sykes
0 Comments