Nicki Minaj pia aliomba kutohudhuria katika maonesho ya Mavazi, Urembo (MET GALA 2021) huko New York akisema kuwa hawezi kujichanganya na watu na wala kupata Chanjo ya COVID-19.
Pia Rapa Huyu alithibitisha hilo kupitia Ukurasa wake wa Twitter akisema kwamba angepata Chanjo hiyo mpaka pale atakaporidhishwa na uchunguzi atakaoufanya, huku akiwashauri watu kuendelea kujikinga kwa kuvaa Mask na kutojichanganya hovyo.
Ata hivyo, Ikulu ya Marekani imesema ipo tayari kufanya mazungumzo na Rapper Nicki Minaj ili kumuelezea kwa undani usalama na ubora wa chanjo za corona baada ya Rapper huyo kusema anahitaji kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kuamua kuchanjwa.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter Nicki amesema atachajwa baada ya kufanya utafiti wa kutosha huku akisema kwa sasa yeye atajikinga kwa kuvaa mask zenye ubora huku akiwataka na Mashabiki zake kufanya hivyo.
Nicki alisema Binamu yangu amesema hatochanja kwasababu Rafiki yake amechanja na akapata madhara ikiwemo korodani zake kuvimba ambapo alikua akijiandaa kuoa lakini sasa Mchumba wake amesitisha ndoa.
Baada ya Ikulu kumpa mwaliko wa kufanya nae mazungumzo Nicki amesema hiyo ni hatua nzuri na amekubali kwenda---->“Ikulu imenialika, nitakwenda” ---- NICKI MINAJ

0 Comments