Advertisement

Responsive Advertisement

PROF. LUHANGA AFARIKI DUNIA

Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imesema imepokea kwa masikitiko taarifa ya Kifo cha Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu Mzumbe na aliyekua Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Profesa Mathew Luhanga.

Profesa Luhanga alikuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam, kuanzia mwaka 1991 hadi mwaka 2006 na amefariki jana September 16 2021.#RIPProfesaLuhanga🙏

Post a Comment

0 Comments