#LIVE SIMBA SC vs YANGA SC
Huu ni Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC leo utakaopigwa katika Uwanja wa Benjamin William Mkapa saa 11:00 PM Jioni hii.
Mechi hii imerushwa LIVE (MBASHARA) Kwa njia ya Sauti pekee, kwa hisani ya Mtangazaji wa Mbiu na Sauti Kuu Thadei Cosmas kuhakikisha wewe mpenzi mfuatiliaji wa Michezo wa Binago basi Unaburudika.
TAKWIMU ZA NYUMA KATIKA NGAO YA JAMII (SIMBA SC vs YANGA SC);
2001; Yanga 2 - 1 Simba
2010; Simba 0 - 0 Yanga (PEN1-3)
2011; Simba 2 - 0 Yanga
2017; Simba 0 - 0 Yanga (PEN5-4)
2021; Simba ? - ? Yanga
#Burudika
#NaBinago
#HomeOfIntelligence

  
  
  
Post a Comment