MWILI WA ASKARI KHATIB ALIEFARIKI DAR WAZIKWA LEO
Mwili wa Askari aliye fariki Dar katika Mapambono waagwa Karatu Katika kijiji cha ROTHIA.
Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP MARY KIPESHA amewaongoza Maofisa wakaguzi na askari wa vyeo mbali mbali katika Wilaya YA Karatu Mkoani Arusha Kuuaga Mwili wa EX Miraji Ambae alifariki dunia wakati wa Mapambano na Kijana mmoja huko Dar es salaam katika ubalozi wa ufaransa
Katika ibada ya Misa iliyoongzwa na Paroko Msaidizi wa Parokia ya ROTHIA Agustino Katika mahubiri yake mesema kuwa sote niwapitaji yatupasa kujianda vyema tukiwa hapa duniani kwa kutenda wema na kumcha Mungu kama "kijana huyu Miraji amabaye amelala kwa kutekeleza majukumu ya kulinda Raia na Mali zao.
Aidha kwa upande wake Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP MARY KIPESHA amesema kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Samia Hassani Suluhu ametoa Pole kwa wanafamilia kwa kumpoteza Mpendwa wao ambaye amefariki Dunia wakati akitekeleza Majukumu yake
Pia kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha ACP MARY KIPESHA amesema kuwa jambo ama tukio hilo limewapa hali na chachu zaidi ya kupamabana na wahalifu amabao wana dhamira ya kuvuruga amani ya Nchi yetu amesema Kamwe Jeshi la Polisi halito wafumbia Macho watu wa aina hiyo.
Wakati huo ndugu wa warehemu pamoja na wanawakjiji wamelishukuru Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa upendo wa Peke waliouonyesha katika kumsindikiza kijaana wao kwenye makazi yake ya milele.#

Post a Comment