MWANA FA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Baada ya taarifa kutufikia muda mfupi uliopita kuwa Mbunge wa Muheza mkoani Tanga Mhe. Hamisi Mwinjuma @mwanafa amepata ajali ya gari eneo la Mkambarani, Morogoro usiku huu, amethibitisha kuendelea vizuri.
"----->Namshukuru Mungu tumetoka salama mimi nina maumivu kidogo kifuani na kwenye mkono wa kushoto, lakini napata huduma hapa kwenye hospitali ya mkoa hapa Morogoro."----MWANA FA
Post a Comment